Kweli kaka huyu binti alinibeba kupita maelezo nampenda kwa kweliHongera mkuu. Naona umeamua kuanza majukumu mapema. Lakini kwa msaada wa familia zenu naamini mtavuka salama.
Ushauri: Hakikisha unaubeba ubaba ipasavyo. Lakini pia utafanya kosa kubwa sana na utakuja kulilipia huko mbeleni kama utajaribu kumtelekeza huyo dada wa watu. Amekusaidia sana. Hakuwa mbinafsi. All the best
Usijali mkuu pamoja sanawe jamaa ushamaliza pepa la f6. daa we mwanaume kubaliana na hali hongera hukumuua hiko kiumbe maana najua akili zetu zilivo. natamani ujipe namba yako pm tupige story. me nko first year chuo kimoja karibu sana kk. natuma mdada anaendelea poa coz wazaz wametoa sapot na ushirikiano.
Siyo mbaya maana hiyo nayo ni moja ya kipimo cha kukujulisha kua upo feet.