Elections 2010 Mramba aanza kuhukumiwa

yamethibitishwa na nec tayari?? am very very happy. ni bora aanze kuhukumiwa na wananchi maana mahakama inaweza kumbeba.
 
Poa sana maana jamaa alikuwa ana nyodo sana nakumbuka aliwahi kusema kuwa hata watanzania wakila majani poa tu...........
 
hata Watanzania wakila majani poa tu lazima ndege ya rais inunuliwe nikiwa kama waziri wa fedha.Huyu jamaa ni hatari sana maana hata wakati akiwa mkuu wa mkoa kule mbeya alijimilikisha mashamba mengi ndiyo maana wanambeya wanazidi kuichukia CCM
 
Jamani hii ni faraja kubwa sana na inaonyesha jinsi gani watanzania wanavyopevuka kimawazo. Vipi yule mzee wa vijisent? Naye hajapewa hukumu yake?
 
Alisema ye ni panga la zamani lisoisha makali,matokeo yake kaangukia pua,i pity him!
 
Mungu amejibu maombi, na kura zimesema kweli na tume kuthibitisha.Mramba bye bye mjengoni.Utasikia mjengoni kwenye bomba.Hukumu ya wananchi tayari, nw subiri ya mahakama fisadi mkubwa wee!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom