Undetectable JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 1,700 Reaction score 2,278 Feb 13, 2019 #1 Habari wadau. Ningependa kufahamu, hivi ule mradi wa kutengeneza mvua (artificial rain) uliishia wapi? Nakumbuka mradi huu ulitakiwa ufanywe na wataalamu kutoka nchini Indonesia ili kupunguza tatizo la upungufu wa maji ya kuzalisha umeme.
Habari wadau. Ningependa kufahamu, hivi ule mradi wa kutengeneza mvua (artificial rain) uliishia wapi? Nakumbuka mradi huu ulitakiwa ufanywe na wataalamu kutoka nchini Indonesia ili kupunguza tatizo la upungufu wa maji ya kuzalisha umeme.
ole sururu Member Joined Apr 30, 2018 Posts 64 Reaction score 26 Feb 13, 2019 #2 Mimi ninatengeneza radi bila mvua Sent using Jamii Forums mobile app
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,908 Reaction score 24,737 Feb 14, 2019 #3 Hizo zilikuwa siasa