Kasimba G JF-Expert Member Jan 19, 2011 3,428 2,609 Jan 13, 2020 #41 Lizaboni said: Aiseee akili za machadema bana! Yaani kila kitu mnajifanya kupinga! Click to expand... Najua huyu MTU amepotea hebu atupe mrejesho maana hayo aliyoyaita "machadema" yanayopinga kilakitu naona ka yana akili na upeo zaidi ya waunga mkono hoja! Kwanza nyie waungamkono Noah zetu vipi? Na je kishika uchumba tayari?
Lizaboni said: Aiseee akili za machadema bana! Yaani kila kitu mnajifanya kupinga! Click to expand... Najua huyu MTU amepotea hebu atupe mrejesho maana hayo aliyoyaita "machadema" yanayopinga kilakitu naona ka yana akili na upeo zaidi ya waunga mkono hoja! Kwanza nyie waungamkono Noah zetu vipi? Na je kishika uchumba tayari?
bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,668 Jan 13, 2020 #42 Mimi kujua limefikia wapi..? Sent using Jamii Forums mobile app
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 59,020 103,415 Jan 13, 2020 #44 Rohombaya said: Dah...nilijua ni miradi ya wananchi π€ Click to expand... Hapana, ni ya ccm.
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,753 218,362 Jan 13, 2020 #45 LTN USU WA MADOSO said: serikali yenu mzoga Click to expand... ππππ
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,307 33,925 Jan 13, 2020 #46 Hivi hapa ukweli ni upi? Maana mimi siishi Tanga. Watu wa Tanga bomba tayari?
Kinyungu JF-Expert Member Apr 6, 2008 17,381 33,032 Jan 28, 2020 #47 Lizaboni ulikuwa unamaanisha 2020 hii au tusubirie nyingine?