Banda la kutosha nguruwe wa 5 kitaalamu linaweza gharimu Tsh 741500/= (makadilio ya juu)
GHARAMA ZA GURUWE 5
Guruwe wa miezi mitatu anauzwa 1@60000
Kwa nguruwe 5 *60000 = Tsh 300000/=
GHARAMA ZA CHAKULA
Gharama za chakula kwa nguruwe wamwanzo 5 kwa miezi 3
Nguruwe hukuwa kwa kipindi cha miezi 6 hadi kufikia uwezo wa kupandwa
Nguruwe mmoja = kg 2/kwa siku
Nguruwe 1 kwa miezi 3 = 2 kg x siku 90 = 180 kg
Nguruwe 5 kwa miezi 3 = 180 kg x 5 = 900kg
Gharama za chakula kwa kipindi cha mimba
Nguruwe hupeba mimba kwa siku 114
nguruwe mwenye mimba hula 3kg ya chakula kwa siku
Nguruwe 1 = 3 kg ya chakula kwa siku
Nguruwe 1 kwa siku 114 = 3 kg x 114 day = 342 kg za chakula
Nguruwe 5 = 342 x 5 = 1710 kg
Gharama za chakula kwa nguruwe 5 wazazi na watoto
Nguruwe anae nyonyesha atakula 5 kg kwa siku (hii ni makadilio ya nguruwe mwenye watoto 5)
Inapatikana kwa :
Jumla ya chakula cha mama ujumlishe na 1/3 ya chakula watachokula watoto wote
Kwa siku 56 = 5 kg x 56 = 280 kg
Kwanguruwe 5 = 5 x 280 kg= 1400 kg
JUMLA utaitaji
4010 kg za chakula hadi watoto wakue
Ngunia moja la pumba la debe 6 lina 70 kg
(kumbuka nguruwe ni mnyama anaekula kila kitu binadamu anachokula)
Jumla ya gharama za chakula itakua 400000/=
(gharama hii inaweza badilika kutokana na eneo)
GHARAMA ZA CHANJO NA MADAWA
Deworming / minyoo- ivemic 12000/=
Madini ya iron wakati wa ujauzito -iron injection 15000/=
Vitamin- multivitamins 5000/=
Vidonda- woond spry 9000/=
Iodine – 3000/=
JUMLA NI TSH 44000/=
(izo ni dawa na chanjo muhimu na bei yake itategemea sehemu uliyopo)
GHARAMA ZA ENEO
Kama unaeneo lako hii itaokoa kiasi kikubwa cha pesa wakatu wa kuanzisha mradi.
(kumbuka ni vyema eneo lako liwe mbali na makazi ya watu)
MAKADILIO YA FAIDA KWA MZAO WA KWANZA
Toa jumla ya gharama zote ulizotumia na mapato
Nguruwe huzaa kuanzia watoto 5 na kuendelea. Kwa makadilio ya nchini kwa majike matano ya nguruwe kunauwezo wa kupata nguruwe watoto sio chini ya 25 kwa mzao mmoja. Nguruwe mwenye umri wa miezi 6 huweza kuuzwa au kuchinjwa kwaajili ya nyama
Kuuza kwa jumla akiwa mzima >
Ndani ya watoto 25 unauwezo wa kuuza nguruwe 20
Nguruwe mmoja huweza kuuzwa 370000 ,
370000 x 20 = 7,400,000
Kuuza kama nyama
Nguruwe wa miezi 6 unauwezo wa kupata nyama kilo 90
Kilo 90 kwa nguruwe 20 ni kilo 1800
Kwa makadilio ya chini kilo moja ya nyama ya nguruwe huuzwa shilingi 6000
Kilo 1800 x 6000 = 10,800,000
(kwa maeleza zaid ya Ufugaji wa aina yeyote karibu)View attachment mau raizer.docx
Sent using Jamii Forums mobile app