M Matatika Member Joined Jun 18, 2013 Posts 20 Reaction score 4 Dec 24, 2014 #1 Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload.
Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload.
K Kiparaa JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 384 Reaction score 114 Dec 24, 2014 #2 "kwakuwa sinaaa, pakuuweka ubavu" wimbo mzuri sana. Nausubiri pia
M Matatika Member Joined Jun 18, 2013 Posts 20 Reaction score 4 Dec 27, 2014 Thread starter #3 Tupieni hilo jisongi basi wakuu.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Dec 28, 2014 #4 Daah booonge la songi...
M mangelengele JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,293 Reaction score 1,102 Dec 28, 2014 #5 Jamani muwe mnagoogle nyimbo mbona zipo! au lengo ni kujaza saver za jamii forums! Km wimbo unakukonga, basi shirikisha maudhui yake watu wachangie
Jamani muwe mnagoogle nyimbo mbona zipo! au lengo ni kujaza saver za jamii forums! Km wimbo unakukonga, basi shirikisha maudhui yake watu wachangie
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 151 May 3, 2016 #6 Mm ninao sema nashindwa ku attach hapa
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 May 4, 2016 #7 marehemu mr.Zumo
Petronfrancis JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 329 Reaction score 130 Aug 2, 2016 #8 jay-mc said: Mm ninao sema nashindwa ku attach hapa Click to expand... Samahani mkuu naomba unitumie huo wimbo ktk whatsapp namba 0765- 631818
jay-mc said: Mm ninao sema nashindwa ku attach hapa Click to expand... Samahani mkuu naomba unitumie huo wimbo ktk whatsapp namba 0765- 631818
T The hitman JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 3,662 Reaction score 2,288 Jan 14, 2018 #9 Petronfrancis said: Samahani mkuu naomba unitumie huo wimbo ktk whatsapp namba 0765- 631818 Click to expand... Kaka na naomba nitumie whatsapp mama unao
Petronfrancis said: Samahani mkuu naomba unitumie huo wimbo ktk whatsapp namba 0765- 631818 Click to expand... Kaka na naomba nitumie whatsapp mama unao
T The hitman JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 3,662 Reaction score 2,288 Jan 14, 2018 #10 Hivi huyu jamaa mr zumo amefariki kweli ? Je walikuwa na uhusiano na moringe sokoine ? Kwani naona wamefanana
Hivi huyu jamaa mr zumo amefariki kweli ? Je walikuwa na uhusiano na moringe sokoine ? Kwani naona wamefanana
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 151 Feb 28, 2018 #11 Matatika said: Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload. Click to expand... Attachments MR. ZUMO USIKU USIINGIE -.mp3 MR. ZUMO USIKU USIINGIE -.mp3 7 MB · Views: 270
Matatika said: Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload. Click to expand...
A Aguthadeus Member Joined Jan 22, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Sep 11, 2018 #12 Ana kipaji sana huyu jamaa, nimesikitika kuona mtu kaandika kuwa amefariki, ni kweli au watu mnazusha tu?
Ana kipaji sana huyu jamaa, nimesikitika kuona mtu kaandika kuwa amefariki, ni kweli au watu mnazusha tu?
Transman JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 869 Reaction score 649 Sep 11, 2018 #13 Kuna wimbo mwengine ila mwimbaj kwa jina simuelew mwenye nao tafazal Kuna versi unasema “Mangi alikuwepo rafael alikuwepo tulikunywa tulikunywa”ni kama vile anasimulia story
Kuna wimbo mwengine ila mwimbaj kwa jina simuelew mwenye nao tafazal Kuna versi unasema “Mangi alikuwepo rafael alikuwepo tulikunywa tulikunywa”ni kama vile anasimulia story