Mr Teacher at work

Baba jitegemee hyoooo mhhh mambo ndo zipo hivo


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kiboko sio tija, ongea na mwanafunzi, mweleweshe kwa mifano hai hakika atakuelewa, mwanafunzi sio punda anayekwenda bila kiboko!!! Haki Elimu!!!!
 
Kiboko sio tija, ongea na mwanafunzi, mweleweshe kwa mifano hai hakika atakuelewa, mwanafunzi sio punda anayekwenda bila kiboko!!! Haki Elimu!!!!
1. Una umri gani?
2. Umesomea shule za kawaida au zile za ST....
 
1. Una umri gani?
2. Umesomea shule za kawaida au zile za ST....

Umri sio sababu grafani11 nimemaliza elimu ya msingi enzi za Mwalimu Nyerere 1988. Maisha ya miaka hiyo sio ya sasa hivi, thus why hata mashuleni kumewekwa sheria kumchapa mtoto mwisho fimbo 3, haya huo mzigo wa kuni anakwenda kuua nyoka darasani au!!!! Na mwanafunzi anafunzwa kwa adhabu za vitendo sio fimbo, maana ukimchapa kila siku anageuka sugu, je hapo unamjenga au unamharibu!!!! Haijalishi ni shule za ST au Kayumba school viboko havitakiwi tena, ilikuwa ni enzi za Mwalimu!!!!
 
Inanikumbusha mwalimu wangu mmoja alikuwa anaingia na mzigo wa fimbo kama huu halafu akifika darasani anautupia nyuma ya mlango
 
Kwetu ilikuwa deal bomba kabisa, mwalimu mmoja jeuri alikuwa akitoa shilingi ishirini kwa atakayeleta kiboko kizuri, sisi waungwana tulichangamkia sana tenda hiyo, ila tulitandikwa ngumi kila mara na waathirika wa biashara yetu hiyo.
 
Sijaona kiboko hapo zote ni vijiti. Afu apo unakuta ni fm1 mpaka 4 yupo peke yake maana Physics inauhitaji sana.
 
Idadi ya chaki ni ndogo kuliko idadi ya bakora loh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 


weweweweeeeeeeeeeeeeee! no one can deny the role of FIMBO! zinasaidia kupita unavyoweza kueleza! hiyo hutumika kuondoa bad stimuli zinazo impede teaching and learning process! usifananishe na sehemu yoyote ile kwasababu watoto na mazingira ya hapa kwetu hayafanani na mazingira ya mabara mengine!
 
Baba jitegemee hyoooo mhhh mambo ndo zipo hivo


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

tuliokula mkwaju shule tulifaulu vizuri Na madaraja yalikuwa very strict sasa hivi hakuna fimbo kuna div 5 zero haipo. Tafakari chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…