Mr. Sitta unastaafu lini siasa?

Mr. Sitta unastaafu lini siasa?

A view to a kill

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
2,213
Reaction score
1,270
JK, Makinda washatangaza na wao bado ni wadogo kwako, unatangaza lini mzee wetu wa kasi na viwango?
 
Jk,makinda washatangaza na wao bado ni wadogo kwako,unatangaza lini mzee wetu wa kasi na viwango?

akishaaibishwa rasmi dodoma kuanzia tarehe 17 hadi 19 nadhani sasa ndipo atastaafu rasmi tena kwa aibu kubwa na ya rekodi.
 
Kwenye siasa hakuna muda maalum wa kustaafu. Mugabe ana miaka tisini na moja na bado atagombea tena urais.
 
yupo tu kama wassira vile! hadi watakapo tupwa nje kwa aibu....
 
Huyo mpaka astaafishwe kwa manufaa ya umma kama alivyo fanywa Wassira.
 
Wassira style Inamfaa huyu Mzee Mnafiki aliyechakachua Katiba ya Babu Jaji Warioba..
 
JK, Makinda washatangaza na wao bado ni wadogo kwako, unatangaza lini mzee wetu wa kasi na viwango?

Sikujua kama huyu mzee ana uchu wa madaraka kiasi hiki. Aachie wengine waongoze akapumzike huko kwao. Mwenzake Wassira kashindwa kwa aibu pale Bunda. Ajifunze kutoka kwake.
 
sita=wassira tusubiri alishatoa tanibihi akikatwa tu ni court moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom