Hongera Sana Mr Rocky kwa kupata baby boy. Natuma Special Greetings to the obviously very Proud Mom and the Little angel. Wonderful day making sure you mark a memory which in future will be reminisced as one of those wonderful memorable days in the past..to you and your loved ones.
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akujalie Neema, Mapenzi na baraka tele wewe na familia yako awabariki and most importantly awazidishie maisha marefuuu yenye Furaha na Amani.
Hongera sana Mr Rocky, najua wewe ni baba bora.
Ila mwakani kumbuka kurudia hili zowezi zuri. Michelle, Kaizer na Bishanga acheni kuchakachua huu uzi wa maana, au nyie mshakula mbegu hamtarajii tena?
Hongera sana Mr Rocky, najua wewe ni baba bora.
Ila mwakani kumbuka kurudia hili zowezi zuri. Michelle, Kaizer na Bishanga acheni kuchakachua huu uzi wa maana, au nyie mshakula mbegu hamtarajii tena?