wa mtoto mmoja, nimeachana na mzazi mwenzangu na sijui hata yupo wapi kwa sasa. Natafuta mume miaka 35-50,
- awe tayari kumpenda mwanangu kama wake.
- Kupima afya
- Ajishughulishe na biashara au kazi
- Mkristo
-Mcha Mungu
- anipende nilivyo nami ntampenda alivyo. Naangalia upendo wa dhati.
Mimi na miaka 30,mjasiriamali, mnene,mweusi, Mkristo, naishi dar.
Mengine mengi tutaongea.
Walio serious tu, sipendi mtu aje hapa then aponde single mom, sio single mom wote wanaofurahia tunayopitia au tulipanga.
Siku njema.
Ila mkuu nawe sio poa.. si ungeataja tu sifa za personality yako mpaka useme jinsi umbo lako lilivyo? Personalities ndio ina matter mambo ya unene na weusi watu wataona huko huko
Why are we so desperate on using the term "single mother"?!
The proper term is "single parent"
Let's end this stigma towards our sisters, aunts and friends.
mamso, Be strong. Kwa wakati sahihi utapata hitaji la moyo wako. Kuwa mzazi na kulea mtoto wako ukiwa mwenyewe sio kilema ni matokeo ambayo hukuyatarajia pia.
Acha maisha yaendelee. Watu wanatoa kashfa na kejeli hapa lakini wana changamoto kubwa zaidi katika maisha yao huko mitaani.