Mr Paul - Ndani ya Love (2002)

Mr Paul - Ndani ya Love (2002)

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
Jamani waungwana, kama kuna mtu anaweza kunipatia hii album ya huyu jamaa,
ni moja ya album za watanzania nilizozihusudu sana, ilikuwa na nyimbo kama
: wasiwasi, ndani ya Love, buzi, etc kama kuna mtu ana MP3 file ya haya mambupu msaada tafadhali.

mrpaul.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom