mr & mrs

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,973
Reaction score
372
siku moja mr & mrs walikuwa wamekaa sebuleni,
mr akataka kumsuprise mrs wake, akaenda chumbani
akaweka line mpya kwenye simu halafu akampigia mrs
wake aliye muacha sebuleni,.....
HELLOW DARLING, bila kujua kuwa ni mr wake wife akajibu,
KATA UPIGE BAADAE MAANA HILI LINGURUWE LIPO NDANI.
masikini yeye alidhani ni mpenzi wake wa nje.
 
Ina maana namba ya buzi lake haijui???
 
Ina maana namba ya buzi lake haijui???
inawezekana hata namba hakuitazama vizuri kwa kumuogopa mr wake akidhani buzi ndio limepiga si unajua wizi mbaya?
 
ni kweli walisema za mwizi ni arobaini
 
Heeeeeeee sipatipicha timbwili lake sasa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…