asante kwa maoni yako nimeangalia maoni ya watu wengi naona tunasumbiuliwa na akili karirifu sijui nani anayeweza kusema ametoa mchango hata mmoja katika ulimwengu wa taalima kila mmoja au wachache wakijifanya wao wanajjua kiingereza zaidi kuliko wenye lugha inaonekana akili zao zinafanana kwa ukubwa au udogo wake
Watz wenye elimu nyembamba hujisikia sana wakisema/kuandika kiingireza ili kutukoga tulio wengi. Hivi lengo lako ni maandiko yako yasomwe na kuchangiwa na wana Jf? Au? Acha hizo wewe! Unatunyanyasa wenzako.