Hata kama haijakatwa ni nyingi hiyo bado hapo safari na mishe nyingine au Hufahamu Serikali kuu na Halmashauri Dere analamba 390k Kama TGS B, kabla ya Tumakato.
Ina maana hiyo 390k bado inakatwa tena mkuu...? Na pia kwa Tanesco kunakuwa na safari kwani sio wanakuwa na kazi za ndani ya mkoa husika tu kiongozi...?
Ina maana hiyo 390k bado inakatwa tena mkuu...? Na pia kwa Tanesco kunakuwa na safari kwani sio wanakuwa na kazi za ndani ya mkoa husika tu kiongozi...?
DFPA ni Donated Fund Program kwahyo ukiona hzo gari ujue zimetolewa kama msahada kwenye taasisi au serikalini kwahyo zipo katika idara nyingi za serikali mpaka halmashauri usije ukafikiri kuwa lipo shirika maalumu ambalo ni DFPA.
Kumbe na wewe umeliona hili. Nilishawahi fanya interviews NNE za hawa jamaa lakini hola. Na waliokuwa wanapata kazi ni wanafunzi wangu niliokuwa nawafundisha Chuo fulani.
Tatizo la hili shirika lilikuwa limeshikwa na watu was kanda fulani ya Tanzania. Hivyo walikuwa wanawapa kazi ndugu na jamaa zao kutoka kanda hiyo. Sasa muarobaini umepatikana.