MPYA: TANESCO watangaza nafasi 569 za kazi kupitia PSRS

Hata kama haijakatwa ni nyingi hiyo bado hapo safari na mishe nyingine au Hufahamu Serikali kuu na Halmashauri Dere analamba 390k Kama TGS B, kabla ya Tumakato.

Ina maana hiyo 390k bado inakatwa tena mkuu...? Na pia kwa Tanesco kunakuwa na safari kwani sio wanakuwa na kazi za ndani ya mkoa husika tu kiongozi...?
 
Ina maana hiyo 390k bado inakatwa tena mkuu...? Na pia kwa Tanesco kunakuwa na safari kwani sio wanakuwa na kazi za ndani ya mkoa husika tu kiongozi...?
Kwanini isikatwe nina Mshikaji wangu Anapokea 300k na inakatwa.
 
MPYA; TANESCO watangaza Nafasi za Kazi 569 kupitia PSRS

KAZI kwenu vijana

Mkuu hivi anuani sahihi ya jengo la Utumishi ni ipi kati ya hizo 2 aisee...? Ni 8 Utumishi House au ni 27 Utumishi House...? Thanks In Advance.

Screenshot_20190804-223811.png
Screenshot_20190806-152505.png
 
Mkuu hata mimi has jamaa nahitaj kujua wanaweka wap
DFPA ni Donated Fund Program kwahyo ukiona hzo gari ujue zimetolewa kama msahada kwenye taasisi au serikalini kwahyo zipo katika idara nyingi za serikali mpaka halmashauri usije ukafikiri kuwa lipo shirika maalumu ambalo ni DFPA.
 
bora wapitie utumishi maana hawa jamaa walikuwa wanawekana tu
Kumbe na wewe umeliona hili. Nilishawahi fanya interviews NNE za hawa jamaa lakini hola. Na waliokuwa wanapata kazi ni wanafunzi wangu niliokuwa nawafundisha Chuo fulani.

Tatizo la hili shirika lilikuwa limeshikwa na watu was kanda fulani ya Tanzania. Hivyo walikuwa wanawapa kazi ndugu na jamaa zao kutoka kanda hiyo. Sasa muarobaini umepatikana.

Hongera sana PSRS!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom