Habari wana JF,
Mimi ni mwanaume rijali ninamiaka 27,naish pwan.Wasifu Wangu ni mwembamba kias,sio mrefu,maji yakunde, natafuta mke wakuoa nitaefunga nae pingu za maisha baada yakuelewana na kukamilisha taratibu za ndoa.
Mke nimtakae awe na sifa zifuatazo,mweupe,asiwe mlevi,mwenye umri wa miaka 20-25,elimu kuanzia stashahada na kuendelea,awe hajawahi kuwa na mtoto wala kuolewa.
Sina ubaguzi wa dini wala kabila. Ninachoamini mke mwema anapatikana popote pale Mungu alipomkusudia.Karibu sana mwenye vigezo tuanze maisha.