hapa siwezi kukujibia..isitoshe mi siku izi sipendi kabisa kupigana eti....
Yangu na mke wangu Lady doctor mbona kama hujaonesha kuitambua kwa heshima mkuu? #Just-asking .
Kweli TheDealer alihangaika sana na sasa katulia maana mtoto mzuriiii namuombea mema amtunze mtoto wa watu,tusijesikia kadondokea wengine tena maana jitihada za kumpata Toria sio mchezo. hope amepata fundisho
naomb nimuulize Toria mmepima maana jamaa sketi zilikuwa hazimpiti kabla ya kukutana nawe ,muonane na Lady doctor kwa vipimo zaiddi
na siku chache kabla ya ndoa niliwatembelea pale hotelini kuwapiga picha..
unakumbuka ile picha yako?
sasa mpenzi unawashauri wakapime ili iweje?
Kwani tiba ilishapatikana?
shemeji hapo kwenye red leo umeisema vizuri mpaka basi....
naikumbuka sana ile picha wakati hubby wangu Arushaone akinifanyia ukaguzi lol!!!
alikuwa anabinjua sketi za kina nani? usiwasikilze hao wote walikuwa wanamgomea..sasa atawabinjua aje?
Safi sana hata yeye anakupenda sana...
Mi siku hizi huwa naogopa hata kuuliza kwa huyu wa kwangu..nisaidie kuuliza basi
nyie mnajuana juana