Mpwa wa Rais Magufuli autaka uenyekiti UVCCM taifa

Kama ni kweli namsifu Mwenyekiti wangu, kwa kuibadili CCM, maana 2015 wapinzani walikua wanasema JPM ni safi tatizo CCM, pia wakaenda mbali kuwa ata akija kuwa mwenyekiti hawezi kuibadili CCM, sasa kama ameweza namsifu mimi nataka mabadiliko
 
Dhambi waliyoianza kwenye kura za madiwani ni sawa na kula nyama ya mtu.... haiwezi kuishia hapo itaendelea tu kulitafuna taifa

Na haishangazi kwa sababu tunataka nchi na chama viwe vya familia, japo mwisho wa haya yote upo na tuna somo ambalo bado hatujalisahau kutoka kwa familia ya Mugabe
 
Chama Cha Mapinduzi kimekamilisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho na jumuiya zake. Masikio na macho ya wengi ni kwenye jumuiya ya vijana ndani ya chama hicho. Mpaka sasa walioteuliwa ni Musa Mtoro kutoka kusini mwa Tanzania, huku Kheri James, Mathias Saimon Kipara na Thobias Richard Mwesiga wote wanatoka kanda ya ziwa; Mganwa Nzota na Kamana Juma Simba hawa ni kutoka Dar es Salaam; Mwingine ni Juma Boaz Mwaipaja kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania.

Duru za siasa zinasema uteuzi wa majina haya umewaacha wengi midomo wazi hususani kupitishwa kwa Ndg Mathias Saimon Kipara ambaye analalamikiwa kudanganya umri kwani wengi wanaomfahamu wanasema amezaliwa mwaka 1984 hivyo kuwa na miaka 33 wakati kwa mujibu wa kanuni ya UVCCM mgombea awe na umri usiozidi miaka 30.

Chanzo changu cha uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya CCM na moja ya maafisa usalama Ikulu ni kuwa Ndg. Kipala hakupendekezwa na vikao vyoye vya awali pamoja na taarifa ya vyombo vya usalama kutokana na kutokuwa na sifa lakini Rais Magufuli aliingia na jina hilo kwenye kamati kuu kwa kulazimisha kuwa naye ajumuishwe kwenye orodha jambo ambalo wajumbe walilipokea kwa shingo upande. Rais Magufuli alionekana kukerwa na mhusika kutokuwepo katika mapendekezo wahusika wanadai ni kwa sababu Ndugu Kipala ni mpwa wake na mtumishi wa idara ya usalama wa Taifa maarufu kama “SWEEPER.”

Habari za uhakika ni kuwa tayari maelekezo yamekwishatoka kuhakikisha Ndugu Kipala anashinda. Jukumu hili linaongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ambaye hata hivyo ushahidi wa sauti iliyorekodiwa wakati wa mkutano wake na marais wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam alithibitisha hilo kuwa yeye anamuunga mkono Ndugu Kipala. Mkakati ni kuwa baada ya kura kupigwa siku ya mkutano mkuu wa UVCCM TAIFA Dodoma wajumbe watapewa mapumziko huku kura zikihesabiwa na meza yaani wasimamizi wa uchaguzi huku wagombea wakitakiwa kuamini meza kurahisisha mchakato wa kumsaidia Ndugu Kipala. Watoa habari wameonya wajumbe wasikubali kura zikaondoka ukumbini bila wao, zikahesabiwa na wasimamizi pia wajumbe wasikubali kwenda mapumziko ndio warudi kumchagua makamu mwenyekiti wa UVCCM TAIFA.

Waliosoma na kumfahamu Ndugu Kipala wanadokeza kuwa Ndugu Kipala ni mpwa wa Rais Magufuli kama anavyojinasibu wakati akiwa amepata kilevi lakini pia ni mzinzi na mlevi aliepindukia kama alivyo Mwenyekiti wa UVCCM anaemaliza muda wake.

Hivyo basi kwa mtazamo wangu namuona kijana Kheri James kutoka Mwanza ambaye ni katibu wa mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Angelina Mabula ambaye ni naibu waziri wa ardhi kuwa mtu sahihi kwa sasa kuiongoza jumuiya hii. Nimefarijika sana kuona watu makini kama kaka yangu Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu akiungana na kijana huyu anayesubiri kukabidhiwa ofisi. Mwenyezi Mungu amuongoze vyema.

Mjukuu wa Dr. Shika.
Igoma Mwanza.
Kwa hiyo nia yako ni kuchafua mmoja na kupigia debe mwingine. Umeanza vyema na ukavuruga hapa mwishoni. Una nia ovu. Either humtaki James au humtaki yule mwingine. Naona kuna mtego wa kichina hapa. CDM mnataka kutupandikizia mtu naona. Hahahahaaa.
 
Hata huyu Hery James ni Shoga hatumtaki sisi
 
Chama Cha Mapinduzi kimekamilisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho na jumuiya zake. Masikio na macho ya wengi ni kwenye jumuiya ya vijana ndani ya chama hicho. Mpaka sasa walioteuliwa ni Musa Mtoro kutoka kusini mwa Tanzania, huku Kheri James, Mathias Saimon Kipara na Thobias Richard Mwesiga wote wanatoka kanda ya ziwa; Mganwa Nzota na Kamana Juma Simba hawa ni kutoka Dar es Salaam; Mwingine ni Juma Boaz Mwaipaja kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania.

Duru za siasa zinasema uteuzi wa majina haya umewaacha wengi midomo wazi hususani kupitishwa kwa Ndg Mathias Saimon Kipara ambaye analalamikiwa kudanganya umri kwani wengi wanaomfahamu wanasema amezaliwa mwaka 1984 hivyo kuwa na miaka 33 wakati kwa mujibu wa kanuni ya UVCCM mgombea awe na umri usiozidi miaka 30.

Chanzo changu cha uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya CCM na moja ya maafisa usalama Ikulu ni kuwa Ndg. Kipala hakupendekezwa na vikao vyoye vya awali pamoja na taarifa ya vyombo vya usalama kutokana na kutokuwa na sifa lakini Rais Magufuli aliingia na jina hilo kwenye kamati kuu kwa kulazimisha kuwa naye ajumuishwe kwenye orodha jambo ambalo wajumbe walilipokea kwa shingo upande. Rais Magufuli alionekana kukerwa na mhusika kutokuwepo katika mapendekezo wahusika wanadai ni kwa sababu Ndugu Kipala ni mpwa wake na mtumishi wa idara ya usalama wa Taifa maarufu kama “SWEEPER.”

Habari za uhakika ni kuwa tayari maelekezo yamekwishatoka kuhakikisha Ndugu Kipala anashinda. Jukumu hili linaongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ambaye hata hivyo ushahidi wa sauti iliyorekodiwa wakati wa mkutano wake na marais wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam alithibitisha hilo kuwa yeye anamuunga mkono Ndugu Kipala. Mkakati ni kuwa baada ya kura kupigwa siku ya mkutano mkuu wa UVCCM TAIFA Dodoma wajumbe watapewa mapumziko huku kura zikihesabiwa na meza yaani wasimamizi wa uchaguzi huku wagombea wakitakiwa kuamini meza kurahisisha mchakato wa kumsaidia Ndugu Kipala. Watoa habari wameonya wajumbe wasikubali kura zikaondoka ukumbini bila wao, zikahesabiwa na wasimamizi pia wajumbe wasikubali kwenda mapumziko ndio warudi kumchagua makamu mwenyekiti wa UVCCM TAIFA.

Waliosoma na kumfahamu Ndugu Kipala wanadokeza kuwa Ndugu Kipala ni mpwa wa Rais Magufuli kama anavyojinasibu wakati akiwa amepata kilevi lakini pia ni mzinzi na mlevi aliepindukia kama alivyo Mwenyekiti wa UVCCM anaemaliza muda wake.

Hivyo basi kwa mtazamo wangu namuona kijana Kheri James kutoka Mwanza ambaye ni katibu wa mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Angelina Mabula ambaye ni naibu waziri wa ardhi kuwa mtu sahihi kwa sasa kuiongoza jumuiya hii. Nimefarijika sana kuona watu makini kama kaka yangu Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu akiungana na kijana huyu anayesubiri kukabidhiwa ofisi. Mwenyezi Mungu amuongoze vyema.

Mjukuu wa Dr. Shika.
Igoma Mwanza.
Hatuwezi kumchagua Shoga, Huyu Khery James ni Shoga huu ni upuuzi yani tutoe Shaka ambaye ni Shoga tuweke Shoga mwingine
 
Uchwara akimaliza kupenyeza watu wake UVCCM, itaingia kwenye Jumuiya ya wanawake na jumuiya ya wazazi kuweka watu wake pia.
Napendekeza mwenyiti wa taifa wa wanawake kuwa Mrs. Bashite maana mama Janet haimuhusu sana ila mkwelima wake anaweza. Mama Bashite gombea wewe huna mtoto wala mjukuu ila mme atakuwa pomja nawe. Yawezekana safari za US na South zimezaa matunda umejaa tayari labda. Viva Amerigo Vespuci
 
Kampeni za kuchafuana hazitakiwi...! Ushahidi huna unakukuruka na tuhuma nzito namna hii.Jenga hoja, ni mission gani walipewa wagonjwa wakashindwa kwa uzembe! Hapo utasikilizwa.
 
Chama Cha Mapinduzi kimekamilisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho na jumuiya zake. Masikio na macho ya wengi ni kwenye jumuiya ya vijana ndani ya chama hicho. Mpaka sasa walioteuliwa ni Musa Mtoro kutoka kusini mwa Tanzania, huku Kheri James, Mathias Saimon Kipara na Thobias Richard Mwesiga wote wanatoka kanda ya ziwa; Mganwa Nzota na Kamana Juma Simba hawa ni kutoka Dar es Salaam; Mwingine ni Juma Boaz Mwaipaja kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania.

Duru za siasa zinasema uteuzi wa majina haya umewaacha wengi midomo wazi hususani kupitishwa kwa Ndg Mathias Saimon Kipara ambaye analalamikiwa kudanganya umri kwani wengi wanaomfahamu wanasema amezaliwa mwaka 1984 hivyo kuwa na miaka 33 wakati kwa mujibu wa kanuni ya UVCCM mgombea awe na umri usiozidi miaka 30.

Chanzo changu cha uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya CCM na moja ya maafisa usalama Ikulu ni kuwa Ndg. Kipala hakupendekezwa na vikao vyoye vya awali pamoja na taarifa ya vyombo vya usalama kutokana na kutokuwa na sifa lakini Rais Magufuli aliingia na jina hilo kwenye kamati kuu kwa kulazimisha kuwa naye ajumuishwe kwenye orodha jambo ambalo wajumbe walilipokea kwa shingo upande. Rais Magufuli alionekana kukerwa na mhusika kutokuwepo katika mapendekezo wahusika wanadai ni kwa sababu Ndugu Kipala ni mpwa wake na mtumishi wa idara ya usalama wa Taifa maarufu kama “SWEEPER.”

Habari za uhakika ni kuwa tayari maelekezo yamekwishatoka kuhakikisha Ndugu Kipala anashinda. Jukumu hili linaongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ambaye hata hivyo ushahidi wa sauti iliyorekodiwa wakati wa mkutano wake na marais wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam alithibitisha hilo kuwa yeye anamuunga mkono Ndugu Kipala. Mkakati ni kuwa baada ya kura kupigwa siku ya mkutano mkuu wa UVCCM TAIFA Dodoma wajumbe watapewa mapumziko huku kura zikihesabiwa na meza yaani wasimamizi wa uchaguzi huku wagombea wakitakiwa kuamini meza kurahisisha mchakato wa kumsaidia Ndugu Kipala. Watoa habari wameonya wajumbe wasikubali kura zikaondoka ukumbini bila wao, zikahesabiwa na wasimamizi pia wajumbe wasikubali kwenda mapumziko ndio warudi kumchagua makamu mwenyekiti wa UVCCM TAIFA.

Waliosoma na kumfahamu Ndugu Kipala wanadokeza kuwa Ndugu Kipala ni mpwa wa Rais Magufuli kama anavyojinasibu wakati akiwa amepata kilevi lakini pia ni mzinzi na mlevi aliepindukia kama alivyo Mwenyekiti wa UVCCM anaemaliza muda wake.

Hivyo basi kwa mtazamo wangu namuona kijana Kheri James kutoka Mwanza ambaye ni katibu wa mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Angelina Mabula ambaye ni naibu waziri wa ardhi kuwa mtu sahihi kwa sasa kuiongoza jumuiya hii. Nimefarijika sana kuona watu makini kama kaka yangu Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu akiungana na kijana huyu anayesubiri kukabidhiwa ofisi. Mwenyezi Mungu amuongoze vyema.

Mjukuu wa Dr. Shika.
Igoma Mwanza.

Baada ya kusoma hii post nimeamini ninayoyasikia ni ukweli mputu. Huyu anayepigiwa debe Kheri James, alikuwa DAS, aliondolewa kwa miongoni mwa wale fyeki, 12,000, kwa kufyoji vyeti. Pia kwa tuhuma za USHOGA, wanaomkaza/bwana zake ni Antony Mtaka, mkuu wa mkoa wa Simiyu na John Kayombo, mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo. Wote wanazunguka huko mikoani kutoa rushwa ili Huyu sshoga achaguliwe, pia anapigiwa chapuo na shoga mwenzake Shaka.
 
Back
Top Bottom