Mpwa wa Rais Magufuli autaka uenyekiti UVCCM taifa

Ndugu naona UMETUMWA kumchafua mtu huku. ..acha siasa za kishamba hizi wacha wakaparuane kwenye hoja kama mtu wako atashinda sawa akishindwa kaeni pembeni chama kilikuwepo kipo na kitaendelea kuwepo kwa misingi yake
 
Kwahiyo awamu ya 5 makabila mengine hayaruhusiwi kupata huo uenyekiti zaidi ya WASUKUMA?

Naona mnajaza wasukuma tu
 
 
Hiyo dhambi ya figisu za uchaguzi haiwaachi asilani.
Mlizoea kuwafanyia upinzani mkidhani nyie mtabaki salama,wakati mnachaguzi nyingi ndani ya chama.
Hicho ndicho kitanzi chenu.
 
Kwenye story ya kuzusha jambo Wanamchomeka Makonda ili taarifa ionekane ina ukweli ndani yake... Pambana mzee
 
Pambaneni na hali yenu huko huko kama Babu,Baba au Mama yako ajawai kuwa kiongozi CCM usitegemee kupata nafasi ya uongozi CCM inawenyewe na kunakurithishana kuanzia babu,bibi,mtoto,kijukuu,kilimbwe hivyo tuliza mshono uone uchaguzi utakavyokuwa.
 
Hapo ulipomalizia ndo umeharibu na kumharibia kabisa huyo katibu wa mbunge
 
Taarifa yako imekaa kama vile kampeni,kuwa wazi tukuelewe,James Kheri au Kipara issue sio udugu issue ni uwezo wa kuiongoza chama na wanachama kwa ujumla.
 


NA WEWE NI MGONJWA KAMA BABU YAKO
 
Mkuu unaujua umri wa " vibabu" vya Zanzibar Sadifa na yule mtangulizi wake?!! Huo umoja siyo wa vijana tena bali vibabu hivyo majungu yako hayana tija!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…