MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Oct 23, 2014 #1 Hatmaye leo mjomba mopto kapatikana kavaa viatu . Muone mwenyewe . Attachments mjomba.jpg 43.3 KB · Views: 833
Nicksixyo JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 944 Reaction score 263 Oct 23, 2014 #2 Mbona anavaaga!!!??
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,722 Reaction score 692 Oct 23, 2014 #3 Nilidhani hakuna size yake kumbe ipo kapendeza kweli lol
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Oct 23, 2014 #4 Viatu sawa, lakini hayo manguo mengine nayo mjomba anafanana na hao mashangazi wa kwenye picha.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Oct 24, 2014 #5 Salamander said: Viatu sawa, lakini hayo manguo mengine nayo mjomba anafanana na hao mashangazi wa kwenye picha. Click to expand... Sio ndio ki africa zaidi
Salamander said: Viatu sawa, lakini hayo manguo mengine nayo mjomba anafanana na hao mashangazi wa kwenye picha. Click to expand... Sio ndio ki africa zaidi
mm1 JF-Expert Member Joined Aug 17, 2014 Posts 569 Reaction score 170 Oct 24, 2014 #6 huyu jamaa ni shoga,mwanzon nilfkr ana busara sana kmbe mat....ko tu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Oct 24, 2014 #7 Inavutia....
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Oct 24, 2014 #8 mm1 said: huyu jamaa ni shoga,mwanzon nilfkr ana busara sana kmbe mat....ko tu Click to expand... Makubwa!!!!!!!
mm1 said: huyu jamaa ni shoga,mwanzon nilfkr ana busara sana kmbe mat....ko tu Click to expand... Makubwa!!!!!!!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Oct 24, 2014 #9 mm1 said: huyu jamaa ni shoga,mwanzon nilfkr ana busara sana kmbe mat....ko tu Click to expand... Mmh.....
mm1 said: huyu jamaa ni shoga,mwanzon nilfkr ana busara sana kmbe mat....ko tu Click to expand... Mmh.....
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,386 Oct 24, 2014 #10 MeinKempf said: Hatmaye leo mjomba mopto kapatikana kavaa viatu . Muone mwenyewe . Click to expand... Siamini kama ni kweli....toka lini Mpoto akavaa viatu? Huyu akivaa viatu anapataga fungus na ukichaa, hii ni photoshop tu bwana.
MeinKempf said: Hatmaye leo mjomba mopto kapatikana kavaa viatu . Muone mwenyewe . Click to expand... Siamini kama ni kweli....toka lini Mpoto akavaa viatu? Huyu akivaa viatu anapataga fungus na ukichaa, hii ni photoshop tu bwana.