Ungeweka na sauti ya hiyo kejeli ili na wengine waipime ka ni kejeli,Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.
Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
Umemsifu sana, bichwa litafura. Analewa sifa mpaka anapitiza. Sisi (TCRA) tunasikiliza tuu akosee kanuni za utangazaji tuwapige faini.Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.
Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
mkuu nadhaniukujua kabila lake hatkupa shida,maana majigambo.kebehi.dharau n.k hao watu ndo kwao.hasa pale wanapofanikiwa kidogo.Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.
Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
Vipi mkubwa katika yote hayo kuna lililokugusa nini..Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.

Mimi hajanigusa Ila nasikitika anavyowadharau bar maids, walinzi, walimu, wakulima, ma house girls, madereva, makondakta, mama wa nyumbani na wafanyazi wote wa vyeo vya chini maofisini na viwandani.Inawezekana kejeli unazoona wewe kwake yeye ni kuburudisha.. kwenye utani kejeli zipo pamoja na dharau kama zote..
Ni mtu usimchukulie serious kihivyo hata kama amekugusa kwenye idara yako
Kuishi kwenye nyumba ya kupanga sio umaskiniMpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.
Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
Eti chumba kimojaa na mandoo mikaa mavyombo kibao kwenye korido ndicho anachokandiaga..... Nani anapenda kuishi hivyo... Si basi tu. Nchi Haina mipango mizuri. Nchi zilizoendelea nyumba hazijengwi na individuals.Kuishi kwenye nyumba ya kupanga sio umaskini
Watangazaji wa Darasa la 7 siwasikilizagi kabisaa.
Dharau kama zote maana yake ni nini?Inawezekana kejeli unazoona wewe kwake yeye ni kuburudisha.. kwenye utani kejeli zipo pamoja na dharau kama zote..
Ni mtu usimchukulie serious kihivyo hata kama amekugusa kwenye idara yako
Hata kama ni sanaa,lazima uwe balanced.
Binafsi sijui hata vipindi vya hiyo redio,lakini mtoa mada ameelezea mengi ambayo kama ni kweli Mpoki anayafanya.....atakuwa anakosea.