Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Jamani huu jf kuna watu wanajua kuzuga!.....kwa hiyo wewe unataka kuniambia ukimuona moki hutageuka japo kidogo?
wapi nimesema sitageuka?
Jamani huu jf kuna watu wanajua kuzuga!.....kwa hiyo wewe unataka kuniambia ukimuona moki hutageuka japo kidogo?
Mi hakika nilidhani huyu mpoki ni wanted may be ndiye imegundulika ndiye anayemwagia watu tindikali nikajuwa big issue