Yeah man ni kunomaa,
Mshikaj wangu jana alikuwa anasimamia kura, ile wanebeba mabox si wakakutana na waandamanaji enhe wakawaambiwa mnataka kufa?, kama Mungu gar la jesh likaja likawabeba na kuwapeleka kambini, haha jamaa ananiambia aliona kifo live.