rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
sasa nakwenda kulalaTunashukuru kwa tarifa........
Mi niko hapa nagida ulanzi mwanzo mwisho.....
sasa nakwenda kulala
tipo h, k pole jaribu mara moja moja na bia sio mbaya kwa afya ya akiliNipo home naangalia tamthilia hapa hana cha bia wala maji
nawe pia malaika wakulindeusiku mwema.......
tipo h, k pole jaribu mara moja moja na bia sio mbaya kwa afya ya akili
nawe pia malaika wakulinde
nashukuru Mungu nimeamka, wewe bado umelala tu..basi usingizi ulikua wa pono..ameen unalala kutwa wachungulia hum ndani!!!!!!!!
taratibu taratibuNitaanza mdogo mdogo
nashukuru Mungu nimeamka, wewe bado umelala tu..basi usingizi ulikua wa pono..
mh aisee wewe unajiamini sana, yaani unajisifu kua jana umeua mtu huogopi kukamatwa?? mimi nlikua na mechi ya kuishi mtu ndio maana nimeamka mapema, hiyo mechi ni hatari, inayoua watu halafu bado serikali inakaa kimya tu isiingilie mambo kama haya..ndio naamka....nilikuwa na mechi ya kufa mtu jana
mh aisee wewe unajiamini sana, yaani unajisifu kua jana umeua mtu huogopi kukamatwa?? mimi nlikua na mechi ya kuishi mtu ndio maana nimeamka mapema, hiyo mechi ni hatari, inayoua watu halafu bado serikali inakaa kimya tu isiingilie mambo kama haya..
ohoo sasa nimekuelewa, nilidhani inahusisha mauaji kabisa, hapo sawa nashauri serikali isiingilie kabisa, ila TFF wanaruhusiwa??hahaaa hiyo Mechi serikali haiwahusu hata....yakufa mtu lakin hamna aliopoteza uhai