OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,289
- 104,128
Tuliowahi kusakata ndondo tukutane hapa haraka sana. Mnakumbuka unwritten rules za ndondo halisi?
Mi nakumbuka kadhaa
1. Hakuna offside.
2. Hakuna refa
3. Hakuna timu rasmi. Mnajipanga mstari mrefu mmoja,mnajigawa kwa kwenda mbele na kurudi nyuma. Likitokea tukio fulani unaweza kuhamia timu ya pili
3. Hakuna sheria ya idadi ya wachezaji
4. Tunakipiga peku,ukija na rubber tunaweza kukutaza kuvaa
5. Hakuna jezi. Timu moja inavua mashati
Tukumbushe zingine
Watoto wakishua hawawezi kujua. Na kama hukupiga ndondo basi we sio msela