Mpira wa Bongo ulipofikia sasa hivi unahitaji Akili Bandia ili kuwe na fairness, bila Robot Yanga atakuwa bingwa mara 10 mfululizo

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya, Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka 10 mfululizo, nyie endeleeni kulalamika lkn mikakati na mipango ndio hiyo.

Sasa hivi hakuna jinsi, akili bandia ije tu ili soka lichezeshwe na robot, the sky is limit.

We need artificial intelligence in order to rescue soka la Bongo.Waamuzi mkatafute kazi za kufanya hasa wewe Kayoko na mwenzako Arajigije.
 
Mmevurugwa na mtaendelea kuvurugwa mlidhani yanga ni Tabora united?
 
YANGA HAJAWAHI KUBEBA UBINGWA KWA HAKI WAKATI WOTE NI UNYANG'ANYI HATA AIBU HAWANA VIONGOZI NA MASHABIKI WAO.
 
Ongelea dosari ulizoziona kwa refa wa mechi, ukiongea kijumla jumla hivyo unaonekana ni shabiki wa timu pinzani na Yanga aliyekatia timu yake tamaa na pia utaonekana kama mtu wa majungu zaidi kwa kuonyesha kwamba huna hoja.
 
Back
Top Bottom