Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni, Mbwiga Mbwiguke wa Clouds FM angekuwa na kiwango cha Messi!

mbwiga[1].jpg

Huyu ndio Mbwiga mwenyewe...
 
Hiyo program ya saa 3 ni RADIO CLOUDS, ya ukweliukweli ni saa 4 usiku ndani ya Clouds TV.

Huyo ni mzee wa:

  1. Umatemate.
  2. Soko la nyani ngedere haponi.
  3. Mkole wa nyani kibwaya mkia.

Hasa cheko lake bana burudani.........kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi.......
 
"Leo nimeamini kuwa dereva Mzee anyang'anywi funguo wa gari mpaka apatwe na matatizo ya macho,yaani Chuji huyu Chuji tunayemjua wa kucheza katika kiwango kile,Chuji anapokea anatupia - anapokea -anatupia,Yanga leo walitia fora kama Brazil....leo mashabiki wa Yanga walikuwa hawashangilii magoli,walikuwa wanashangilia vitu ...whaaaaaaaaa....kama unatia viazi kwenye mafuta ya moto"......Mbwiga wa Mbwiguke - Clouds Fm
 
Mbwiga Mbwiguke mkole nyani kibwaya mkia middlefielder kisheti...aaaaaahhhhh kama napiga vile halafu naingia nao mwenyewe.
Mimi ndo BB4...Ball Controler,Ball Balance,Ball Stamina,Ball Brain...
 
Back
Top Bottom