MPIRA SIO UGOMVI

MPIRA SIO UGOMVI

Gusa achia twende kwao

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
916
Reaction score
1,026
Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu

Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba

Wanalunyasi mpira sio ugomvi ni mchezo WA kiungwana kupoteza ni sehemu ya mchezo ...Chezeni mpira sio mnacheza na marefa ...
FB_IMG_1748244190032.jpg
 
Asante mama kwa kutufikisha hapa....🤣
 
Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu

Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba

Wanalunyasi mpira sio ugomvi ni mchezo WA kiungwana kupoteza ni sehemu ya mchezo ...Chezeni mpira sio mnacheza na marefa ...View attachment 3346124
mi najua yanga tarehe 15 wtacheza tu,sasa kipigo watakachoipata kutoka kwa watoto wa jangwa ndo watauana kabisa na timu itafia hapo hapo
 
CAF wametuhujumu kutupeleka Zanzibar. Sisi tulijiandaa kucheza kwa Mkapa. 😩
 
Back
Top Bottom