Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

Status
Not open for further replies.

VIJANA SINGIDA

New Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Ni Mwanasheria machachari George Kidindima ametangaza nia ya kugombea Ubunge ktk Jimbo la iramba magharibi 2015 kupitia CHADEMA
-Kidindima amepata kuwa Mhadhiri msaidizi ktk Chuo ya uhasibu Singida campus pia ni mwandishi wa vitabu kadhaa vya business law,

Source;Mwigulu nchemba vs Kitila mkumbo(fb group)

===================
AKANUSHA
 

Attachments

  • Kidindima.jpg
    21.1 KB · Views: 1,277
Na Yule dada? Iramba mtaahangaika sana Huku CDM hakuna na baada ya Dr Kitila kuenguliwa ndio lol!
 
mwigulu mchawi mbaya, huyu jamaa atatoboa 2015 kweli?
 
Habari yako haijajitosheleza vzuri. Sasa huyu kijana (George Kidindima) anatokea CCM ama chama kingine cha upinzani? Maana ni tofauti na kumtaja Dr. Kitila bila kutoa maelezo, maana Kitila anafahamika vizuri kwenye medani ya Siasa (haitaji maelezo ya ziada).
 

kitila ni msaliti hafai hata kidogo,huku iramba hawamtaki tena
 
Mwambie asome rasimu II ajua nafasi za ubunge zikoje
 
Yule mrembo wenu mlisema anajua kujenga hoja mmemtosa? Au hatoi ushirikiano kwa Kiongozi mkuu.....

hawa wote wanaonesha nia tu mkuu,sio kwamba ndo wabunge tayari.Kipimo kikuu ni umekijengaje chama Iramba.sio jasho na povu liwe letu ubunge upewe wewe
 
Hajulikani hata kata moja huku iramba,hajawahi fanya harakati zozote.Jeska tunamjua kwa mchango mkubwa kiharakati hapa iramba.Tutawapima kwa mchango wao na si porojo.
 

ana sura kama Tundu Lisu
 
Hajulikani hata kata moja huku iramba,hajawahi fanya harakati zozote.Jeska tunamjua kwa mchango mkubwa kiharakati hapa iramba.Tutawapima kwa mchango wao na si porojo.

Sisi wanairamba tunamjua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…