Mpinga njoo hapa Shekilango Total uone wanavyogawiana shekeli

Mpinga njoo hapa Shekilango Total uone wanavyogawiana shekeli

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,891
Tupo hapa Total shekilango

Kinachoendelea ni aibu kwa taifa ...Ipo gari moja Noah..Hii imekaa mbele ya Total sehemu wanapotolea mafuta...

Pembeni ya Total kuna njia ya lami inatokea sokoni..hapo wamewajaza mapolisi jamii kumi wanakamata pikipiki hovyo uwe na helmet am lah

Mmoja kakamatwa anambiwa unavaa ndala kosa la kwanza...mbaya wanapelekwa wanaishia kutoa 5000-10000 bila risit

Mh Mpinga kama upo karibu jaribu kuona hili..niliwahi kusema polisi jamii hawakoo kwa bahati mbaya ..hata siku mh unawapinga nilishangaa sana maana nilijua hawawezi kuondoka Hawa ni wajasiriamali wa baadhi ya watu..

Unakamatwa na polisi jamii unapelekwa kwenye Noah..kaulizeni wameandika ngapi mpaka sasa kama faini.
Njooni kuna Pikipiki 20 zinaishia mojamoja

Lord have mercy on us
 
Aliruhusu za kubrashi viatu!!
Rushwa ndio inakithiri baada ya ufisadi
Unapambana na Ufisadi unaruhusu hongo!!
 
Jaman hata hiyo hela ya kubrash viatu pia.. Au ulitaka utoe 30 .. Anyway natania tu
 
Dah wanachokifanya hiki wanatafuta pesa kinguvuuuu
 
Tupo hapa total shekilango

Kinachoendelea n aibu kwa taifa ...IPO gari moja Noah..HII imekaa mbele ya total sehemu wanapotolea mafuta...

Pemben ya total KUNA njia yanlami inatokea sokoni..hapo wamewajaza ma polisi jamii kumii wanakamata pkkpk ovyo uwe NA helmet AMA lah

Mmoja kakamatwa anambiwa unavaa ndala kosa la kwanza...mbaya wanapelekwa wanaishia kutoa 5000-10000 bila resit

MH Mpinga kama upokaribu jaribukuona hili..niliwahi sema polisi jamii awakoo kwa bahati mbayaa ..hats siku MH unawapinga nilishangaa sana maana nilijua awawezi kuondoka Hawa n wajasiriamali wa baadhi ya WATU..

Unakamatwa napolisijamii unapelekwa KWENYE Noah..kaulizeni wameandika ngapi mpakansasa kama faini.mnjoon KUNA Pikpik 20 zinaishia mojamoja

lordhave mercy n us
Wapige Picha mkuu
 
Yuko busy kwenda dodoma hawezi kuja huko!!!! ILA RAIS ALISHASEMA WAKITAKA ELFU TANO MUWAPE TU KWANI NI HELA YA KUPIGA VIATU KIWI NA SIO RUSHWA!!!
 
Wapige Picha mkuu
pwaa wako gizanii alafu umepaki yenyewe nimejaribu hats kusoma namba za gari mmoja kakaa kwa nyuma naizunguka mwingine kakaa kwambele anajifanya anaongea NA redio call
 
Yuko busy kwenda dodoma hawezi kuja huko!!!! ILA RAIS ALISHASEMA WAKITAKA ELFU TANO MUWAPE TU KWANI NI HELA YA KUPIGA VIATU KIWI NA SIO RUSHWA!!!
Ooohhhh sorry wanadaikubwa sasa 10000 hiio nnkiatu
 
Ooohhhh sorry wanadaikubwa sasa 10000 hiio nnkiatu
Acha tu hii Nchi hii mungu anawaona ati, maana huyu anasema kitaa hakuna hela mwingine anasema kitaa kumefichwa hela sasa sielewi
 
malalamishi kutoka kwa wananchi ya kila namna yameongezeka sana siku za karibuni ... nchi inaelekea kusiko.
 
Back
Top Bottom