johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,200
- 1,593
Mpina atahamia CHADEMA Next YearNajaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge wa kwanza kukabiliana na kashfa ya sukari, Mzindakaya maarufu mzee wa mabomu, alimlipua waziri wa Viwanda na biashara Idd Simba kwa kutoa vibali vya kuagiza sukari kwa makampuni kinyume cha sheria.
Kama alivyo mpina, mzee huyo wa mabomu pia alimg'oa waziri wa fedha Prof. Simon Mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki.
Anachofanyaa leo mpina, ni matokeo ya ufisadi uliodumu tangu zama hizo ndani ya serikali, kampuni ya simu kupewa zabuni ya kuingiza sukari!
Najua, Mpina atapitia tanuri la moto kwa hata watu wake wa karibu kumzodoa na kumpiga, lakini inajulikana sifa za ukweli kuwa atapingwa lakini mwisho wa siku, ukweli utasimama.
Go go go Mpina, yawezekana Mzandakaya amefufuka.
Je Chadema watamkubali? Kwanini aonoke CCM?Mpina atahamia CHADEMA Next Year
Nikutakie Jumapili njema.HAPANA MPAKA SASA ALIE FUFUKA KATIKA WAFU NI YESU KRISTO PEKEE.
NA NDIO MAANA HII COMMENT NI YA TATU KUTOKA UZI HUU HII IKIWA NA MAANA SIKU YA TATU KRISTO ALIFUFUKA PEKE YAKE
Wewe ni mpuuzi usiyejitambua wala usiye na huruma na vizazi vya Tanganyika huru.Mpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Itakuwa jambo jema kushusha hizo nondo kwani naamini hakuna aliye sahihi kwa asilimia 100.Mpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Nakubaliana nawe, lakini najiuliza kwanini hizi tengua tengua hazifiki nafasi ya waziri? Au wanatumwa?Mpina anapiga kelele kila siku kumwambia Samia anaongoza serikali ya wezi, bahati mbaya Samia amenyamaza kinya kwasababu ana urafiki wa karibu na wezi walioko kwenye serikali yake.
Anachojua ni kusubiri kusikia taarifa ya kulawitiwa mwanamke mwenzake ndio ashtuke na kuchukua hatua, lakini rasilimali zetu kama taifa kila siku zinalawitiwa chini ya usimamizi wake amenyamaza, kodi zetu kila siku zinabakwa na wasaidizi wake amenyamaza, haongei chochote.
Samia ondoka kwenye ikulu yetu umeshindwa kusimamia na kuzilinda rasiliamli zetu kama ulivyoapa ukiwa Rais, umeshindwa pia kusimamia kodi zetu watanganyika, wewe ni dhaifu tupishe ondoka kwenye ikulu yetu unaangamiza mpaka vizazi vyetu vijavyo.
Ondoka utupishe, hufai kuwa kiongozi wa hili taifa.
Washughulikiwe kama wanajinufaisha na Bunge liweke Azimio.Bashe atokeNajaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge wa kwanza kukabiliana na kashfa ya sukari, Mzindakaya maarufu mzee wa mabomu, alimlipua waziri wa Viwanda na biashara Idd Simba kwa kutoa vibali vya kuagiza sukari kwa makampuni kinyume cha sheria.
Kama alivyo mpina, mzee huyo wa mabomu pia alimg'oa waziri wa fedha Prof. Simon Mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki.
Anachofanyaa leo mpina, ni matokeo ya ufisadi uliodumu tangu zama hizo ndani ya serikali, kampuni ya simu kupewa zabuni ya kuingiza sukari!
Najua, Mpina atapitia tanuri la moto kwa hata watu wake wa karibu kumzodoa na kumpiga, lakini inajulikana sifa za ukweli kuwa atapingwa lakini mwisho wa siku, ukweli utasimama.
Go go go Mpina, yawezekana Mzandakaya amefufuka.
Je hili bunge la Tulia lina ubavu huo? Wa Samwel sitta? Tulia mwenyewe alipatikanaje?Washughulikiwe kama wanajinufaisha na Bunge liweke Azimio.Bashe atoke
Samia anaweza kuwa sehemu ya huu wizi tunaofanyiwa na hao mawaziri bila aibu wala hofu, akishirikiana na mwanae Abdul.Nakubaliana nawe, lakini najiuliza kwanini hizi tengua tengua hazifiki nafasi ya waziri? Au wanatumwa?
Kama ulizoea kwenda ofisini kwake akiwa waziri Sasa kauokosa mfuate ofisini kwake jimboni kwenye ofisi ya mbunge.Najaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge wa kwanza kukabiliana na kashfa ya sukari, Mzindakaya maarufu mzee wa mabomu, alimlipua waziri wa Viwanda na biashara Idd Simba kwa kutoa vibali vya kuagiza sukari kwa makampuni kinyume cha sheria.
Kama alivyo mpina, mzee huyo wa mabomu pia alimg'oa waziri wa fedha Prof. Simon Mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki.
Anachofanyaa leo mpina, ni matokeo ya ufisadi uliodumu tangu zama hizo ndani ya serikali, kampuni ya simu kupewa zabuni ya kuingiza sukari!
Najua, Mpina atapitia tanuri la moto kwa hata watu wake wa karibu kumzodoa na kumpiga, lakini inajulikana sifa za ukweli kuwa atapingwa lakini mwisho wa siku, ukweli utasimama.
Go go go Mpina, yawezekana Mzandakaya amefufuka.
Sisiemu ni ileile.Najaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge wa kwanza kukabiliana na kashfa ya sukari, Mzindakaya maarufu mzee wa mabomu, alimlipua waziri wa Viwanda na biashara Idd Simba kwa kutoa vibali vya kuagiza sukari kwa makampuni kinyume cha sheria.
Kama alivyo mpina, mzee huyo wa mabomu pia alimg'oa waziri wa fedha Prof. Simon Mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki.
Anachofanyaa leo mpina, ni matokeo ya ufisadi uliodumu tangu zama hizo ndani ya serikali, kampuni ya simu kupewa zabuni ya kuingiza sukari!
Najua, Mpina atapitia tanuri la moto kwa hata watu wake wa karibu kumzodoa na kumpiga, lakini inajulikana sifa za ukweli kuwa atapingwa lakini mwisho wa siku, ukweli utasimama.
Go go go Mpina, yawezekana Mzandakaya amefufuka.
M10 kwa kila mvuvi 🤔 wavuvi wa kutokea nchi gani hao 🤔Mpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Na mbaya zaidi wakati wakitetea wizi wao utawasikia serikali ya Dr.... inawapenda watu wake na mimi kama mzalendo sitaruhusu hayo.Samia anaweza kuwa sehemu ya huu wizi tunaofanyiwa na hao mawaziri bila aibu wala hofu, akishirikiana na mwanae Abdul.
Nimejiuliza hili swali pia. Wavuvi hawa ninao wafahamu mimi! Nchi ingekuwa na mabilionea wengi.M10 kwa kila mvuvi 🤔 wavuvi wa kutokea nchi gani hao 🤔
Kwa sisi waumini wa life after life and incarnation, kuna kitu kinaitwa mtu kuwa "possessed" .Najaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.