GE2025 Mpina: Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Luhaga Mpina, amesema Taifa linahitaji kukombolewa upya ili kudhibiti uonevu, rushwa, ufisadi na mateso kwa wananchi.

Akizungumza leo Agosti 18, 2025 mjini Shinyanga wakati wa zoezi la kuomba udhamini, Mpina amesema hatua hiyo ni muhimu ili kurejesha matumaini ya Watanzania na kujenga nchi yenye misingi ya haki na usawa.

“Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, nchi yetu inahitaji ukombozi mpya. Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania. Na chama ambacho kimeletwa kwa ajili ya kulikomboa Taifa hili ni ACT Wazalendo,” amesisitiza Mpina.
 
Attachments

  • snapins-ai_3702095545679452484.mp4
    10.2 MB

Raisi Mpina, PM Zitto Zuberi??
 
Huyu naye anatupotezea muda tu! Hotuba mbona haina mvuto aiseee?
 
Huyu Mpina sijui kwann kapoteza ushawishi ghafla??
 
Yani mwana CCM aje upinzani kuleta ukombozi. Ni thank you.
 
Back
Top Bottom