Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,112 Reaction score 13,051 Aug 18, 2025 #41 Msengapavi said: Natamani Mpina ahutubie bila kusoma. Itamuongezea kujiamani. Click to expand... asome asisome, hana maana, akitaka kuwa na maana asimamie kwenye haki, asikubali kutumika na watesi. aje kwenye no reforms, no election aliko Mungu
Msengapavi said: Natamani Mpina ahutubie bila kusoma. Itamuongezea kujiamani. Click to expand... asome asisome, hana maana, akitaka kuwa na maana asimamie kwenye haki, asikubali kutumika na watesi. aje kwenye no reforms, no election aliko Mungu
Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 3,832 Reaction score 5,307 Aug 18, 2025 #42 Mpina ni mwepesi sana, kama mtu aliona akijibu maswali ya waandishi wa habari pale ACT alikuwa anajichanganya sana mpaka viongozi wanaona aibu.
Mpina ni mwepesi sana, kama mtu aliona akijibu maswali ya waandishi wa habari pale ACT alikuwa anajichanganya sana mpaka viongozi wanaona aibu.