Mpina ana wenge au hana notes au ni oversize position?

😟 aaha hadi kijani
 
Nyie mlimpa ridhaa ya kugombea uraisi ili iweje?πŸ€”

Yaani mtu akibishana na serikali tu anakuwa na qualifications za uongozi.
Duh saiz wale viongoz wa ACT ambao wamejenga chama na kupata value wamekuwa machawa ni kama vision inapotea 😒😭
 
Angelikuwa Lissu angesema alipigwa risasi 26 halafu anaonesha kovu Moja tu!
 
Shida sana. Mtu aliye kuwa anataka ubunge then ghafla eti anagombea urais kweli kweli au ni siasi chafu tuu.
Sijui kwa nini Ayatollah hakuchukua hiyo nafasi! Au kwa vile ACT ni project ya CCM kama mnavyosema hakutaka kumpa taabu mama wa watu?
 
Safari hii kama Lissu angegombea mama yenu angejinyea jukwaani!
 
πŸ™‹βœοΈπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ€”πŸ’­
 
Ni mpumbavu kama chadema
 
Tofauti yake na Mama yake ni jinsia tu.
 
Wenge tu angebaki awapige spana hukohuko CCM hadi wamfukuze. Maana pesa anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…