Mpigie Kura Diamond kwenye tuzo za Radio Afro Australia-2016, wimbo wa KIDOGO

Jamaa balaa nasikia kamnunua hadi neyo....this time lazima hadi Bush man anunuliwe
 
Nahesabu! Hii redio ya 267 ameinunia ili wawe wanampendelea yeye tu kila siku..

Huyu jamaa mjanja mjanja sana! Alafu anapenda sifa!! Wenzake wanaofanya mziki mzuri juzi tu kiba na dimpoz wimbo wa kajiandae umechaguliwa kuwania tuzo za Grammy..


Cc: Nifah
 
Hamna lolote,nasema hiviiiiii hii tuzo ya redio mbao haipati!
Tusubiri na tuone
 
Tuone,matokeo yakitoka tu naomba uniambie pls (najua mtaikosa,usisite kuniambia)

Grammy mpaka tunazikana bae,hamtokaa muipate.
Hebu tuache kuongelea ndoto bwana
Ndani ya miaka mitatu ijayo tusipopata nomination hata moja ya Grammy..... Sijui nikuahidi kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…