Mpiga picha huyu...!!!!

anasubiria risasi ikitoka tu naye apate picha inatokaje kwenye hiyo barell najua hiyo picha itakuwa ni kali ya mwaka lol jitahidi akiipata utuwekee hapa tuione mkuu.
 
there's no way risasi ikitoka ikampiga huyo mpiga picha maana hawajakaa katika mstari mnyoofu
 
i see you too you could play that risking

hahahaaa mbona kawaida mkuu, unajua vitani waandishi nao huwa wanakuwepo kuna sheria za umoja wa mataifa zinawalinda...la sivyo tusingekua tunapata taswira mnato za mapambano
 
Kweli mjeshi akiona unazuia target yake hata singe au kisu atakuchoma maana akikupiga buti lake la kiwi atalichafua
 
Kweli mjeshi akiona unazuia target yake hata singe au kisu atakuchoma maana akikupiga buti lake la kiwi atalichafua
hahahahahah, sasa huyo sijui anataka apate picha ya risasi inavyotoka kwa bunduki..!!
 
Hapo mjeda hakiona jamaa anaalibu vision ni buti kali kuepusha mambo ya sheria za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…