Mpiga picha anastahili tuzo

Hivi kuna mtu yeyote aliadhibiwa kutokana na tukio hili?
 
Hivi kuna mtu yeyote aliadhibiwa kutokana na tukio hili?

Waadhibiwe na tawi lao kereketwa polisiccm!? Hao walioshika mawe wangekuwa cdm mngeliona POVU la chagonja
 


SIASA ZA KIBONGO NI KAMA TIMU ZA MPIRA SIMBA NA YANGA.

hakika kaka..
siasa kwetu ni uadui. badala ya nguvu ya.hoja.
ila supati picha kama hao walioshika mawe wangekuwa cdm na anaekimbizwa ni ccm.

Povu la Kova na chagonja lingepelekea kufunguliwa kwa kesi ya ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…