Si kweli mkuu acha urongoInategemea moyoni mwake amekazia fikra Jambo hususa au la.anaweza akawa hajasali kwa tafsiri yako lakini akifika nyumbani huenda anapiga magoti anamwambia Mungu kuwa anamshukuru na Mungu amemuona kazi aliyofanya kwa hiyo Ana mrehemu..ibada ya kweli au Sala is all about you and Lord.MAANA KILA MJA NI SHAHIDI WA NAFSI YAKE. HATUWEZI KUJUA MAMBO YAKE YA SIRI.
We ni me/ke ?Naona haipiti dakika unapandisha uzi mpaka nyuzi nyingine ndugu mhariri anazifuta fasta!
Unashindana nanani kuupdate nyuzi huku jf shekh?
Kaa kitaalam mzee baba acha ulimbukeni!
Kitendo cha kutoka nyumbani kuelekea kanisani/ msikitin tayali unaanza kuhesabiwa thawabu tangu atua ya kwanza.Swali fikirishi kidogo,Leo nimeudhuria ibada ya ndoa ya jirani yangu hapa kisarawe.
Ndoa imefana sana,ila kuna vitu vimenitatiza kidogo.,mpiga kinanda ametumia mda wote kukaa hadi ibada imekwisha.
Nauliza je na yeye atakuwa amesali wakati hajafuata chochote kinachofanywa na waumini wengine? Pia nimeona wamama wanasare wanawazuia watoto wasipige kelele wakati ibada inaendelea hawa vp nao?
Nielimisheni taratibu zikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hasa katika kuabudu kwa nyimbo huwa anaweza akawa deep zaidi ya wengine kwani anawaongoza wengine na pia yupo kwenye nafasi ya kwenda deep zaidi kihisia katika kuabudu kuliko wengine endapo anafurahia anachofanya.