iryn alphonce
Member
- May 15, 2014
- 49
- 8
Jamani ukienda kununua hzo lain za mpesa wakala,hiyo hela unayotoa ndo inakuwa ya kudeposit au ya kununua ni hela yake na ya kudeposit ni hela nyingine?mwenye kujua naomba anieleweshe