Itakuwa mifumo yao imekonektiwa mpaka benki kuu, hivyo hata ikianguka utaratibu utafuatwa ili wateja wapate hela zao kama ilivyo kwa benki ikianguka.
Hiyo mitandao sidhani kama inakopesha bila baraka za benki kuu, na ndio maana hata ukitumiwa hela kwa simu toka nje ya nchi, naskia benki kuu wanaiona pia.