Mpenziwangu anajamba sana!

Si bora kujamba.wengine anaachia kojo haswaa kitandani kunalowa kama imemwagwa ndoo nzima ya maji
 
mwambie apunguze kula maharage
 
Pengine mnatumia dog style, so ni hewa ndio inatoka Na sio kujamba, hebu jaribu kuchunguza ni mikao gani Hasa ndioa anajamba sana,..

Kwa baadhi ya style ni hali ya kawaida Meku!
 
mara nyingi hutokea kama amezaa! vijana kuweni makini kuchambua ushauri wa kwenye mitandao ni hatari hasa ukiwa mchanga wa mambo haya unaweza kuharibu saikolojia ya mwenzi wako na kumgharimu muda mrefu kuwa sawa tena!
 

Msitake kutuharibia Jukwaa letu la JF. Hapa kuna watu wa rika mbalimbali. Kuna watu wana heshima zao hapa. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Kaa pembeni. Tulia kabisa. Soma michango ya wenzanko. Tumechoka na tabia yenu ya kuleta mada zisizo na maana hapa ndani.
 
Kupumua huko ni jambo la kawaida kama hulipendelei mwambie akukalie kwa juu na msiwe mnatumia Dog Style
Asaanteeeeeeeeeeeee. Hoja imetolewaaaa wanaoafiki waseme ndiooooooooo, wasioafiki waseme sioooooooo.
 

Wewe ni mmoja kati ya wale waliofail form four, hakika sijakosea halafu ni kawaida yako kutembea huku chupi lako likiwa nje linaonekana na suruali juu!!Pole kwa huyo aliyekubali kuvua chu** yake mbele yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…