Mpenziwangu anajamba sana!

watu wengine mnabahati sana yaani wangu angekuwa anajamba mizuka inapanda kishenzi maana najua kakolea kunako, we unasikitika?? dah pole sana halafu na kale kaharufu kakinukia kwa mbali basi mizuka inapanda sana aaah mapenzi siku zote ni uchafu. nahisi mkuu huwezi kuingia chumvini na kule kwingine kwa kutumia ulimi wako.
 
Ni PM nikuelezee kiundani mbinu ya kugundua kama huyo gal wako anatumia Kabang... au la!
 

ila wanawake wengi wa siku hizi wanaachia vijambo kuna mmoja nlilala nae yaani usiku ni vijambo tuuu
 
Hahahahaha,afu weew! Umenchekeshaje
wee anajamba kweli au puss.y fart?
mhm hivi nawezekana kweli wakati wakugegedwa demu kujamba...sio kuwa huko nyuma kunabana?
hilo la tigo itabidi uchunguze...ebu jidai siku umekosea shimo
 
Siku hizi JF imeharibika sana.. Jamani hapa ni jf tunapeana ushauri na jukwaa ni la mapenzi na uhusiano na hapa tunatumia ID majina sio yetu wengi wetu sasa mtu kaja kuuliza naona nyie mmemshambulia kama mpira wa kona? JF ya sasa ipoje sijui. Sasa yeye tatizo lake liko wapi? Eti kamuanika mwezi wake.. Kwani kaandina jina la mwenzi wake hapa? JF acheni kulishusha jukwaa hadi.. Watanzania wamekuwa watu wa kutoa lawama badala ya kutafuta solution n kutoa ushauri
 
Kila mtu ana issues ambazo anaziona kama zingerekebishwa basi mahusiano yatakuwa mazuri. Lakini sio kweli.
1. Kuna wapenzi wananuka midomo, nywele, Kikwapa, Uchi wa mbele, Uchi wa nyuma.

2.Kuna wale wanaojua namna ya kudhibiti hali hizi kama ni harufu nk na kuna wale wasiojua au wasiotia maanani suala la harufu.


Unapo mpenda mwanamke, unampenda na mapungufu/ madhaifu yake. Ukomavu kwenye maisha ni pamoja na kutatua issue kama hizi, huku ukihakikisha heshima ya mwenzio na heshima yako umezilinda. Huzunguki ukiomba msaada kama vile nyumba inaungua.

Huwezi kuendesha mahusiano yeyote kwa kufuata ushauri wa watu.

Huitaji kuwa umetembea na wanawake 100 ili uwe na uzoefu wa wanawake. Wooote wana mapungufu yao sawasawa na kama ambavyo wanaume wana mapungufu yao, mfano: uume mdogo,kukojoa haraka, kuongea hovyo,kunuka kikwapa, dharau,majigambo, uzinifu,uongo nk.

Hivyo basi, ninacho jaribu kusema ni kwamba ni vigumu kupata mwanamke perfect. Unachopata ni yule uliyemtafuta na ambae uko tayari kukua nae, when it is good or when times are rough! Grow up bro! There is more to life than mwanamke kujamba!
 
ishu yako kitaalamu wala sio kujamba ni kitu kinaitwa pussy farting mara nying hutokea pale mnapofanya mbuz kagoma style ni hewa inaingia ukeni na kutoka so unahisi kajamba! jaribu kusearch google hiyo kitu! pia mshauri mwenzio afanye mazoez ya kegel itasaidia!
 
Teh!mkuu em nipe deiwaka nitakueleza nini tatizo lake.si ndio wazee wa exsost
 

Labda unamkunja sana labda ujaribu style tofauti kama unampenda
 
Wanaume wengine hata sio,asara tupu kuwavulia nguo..
 
Sio hasara mdogo wng, bali yanapotokea mambo km hayo mukiwa faraghani lazima ujiulize km kweli umetulia,
 
mh! Jaman mambo coordination system,biology form 3.unvoluntary and voluntary action.
 
Utakuwa lini wewe? siri zako na mpenzi wako unaleta hapa ili iweje!! wewe mwehu nini?

Hii hatari, siri za chumbani zinaletwa JF


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…