Mpenziwangu anajamba sana!

Umri wako tafadhali

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
We ni sawa na mtu ananunua gari BENZI AU VOG hela ya mafuta hana. Ikimshinda anapita mitaa anulizia gari gani inakula mafuta kidogo. Paki gari hiyo au waachie watakoimudu. Unamdhalilisha umpendae kwa maswali ya kuelekeza majibu. We hayo majibu ya rafiki zako yamekushinda unayaleta humu jamvini. Hembu kamuulize baba yako mzazi.
 
kweli jf imebeba kila aina ya watu. Wakati wa game vaa sound proof masikioni usiwe wasikia....
Lakini haikuwa poa kumtangaza mwenzako kwa rafiki zako maana wakikutana naye nahisi picha inayowaijia haraka ni ya mambo uliyowambia
 
Una mpango wa kuendelea na huyo mpenzi wako kweli??

Maana kama ushawaeleza rafiki zako umefeli mbayaaaa. Mambo mengine huwezi shirikisha washikaji kama una akili timamu.

Imagine uko na hao washikaji zako halafu huyo dem wako akaja utajisikiaje?
 
Hapa ndo jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki (mmu).

No comment lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ubarikiwe kwa ushauri mzuri.
 
wonders shall never end oooooooooh!
chineeekeeee hizo ni siri zako na mpenzio
jus zip your mouth sometym lol!

 
Wacha mambo yako ya ...... hapa. Si ujambe na wewe iwe ngoma draw? Usijishebedue hapa. Mbona we huwa unalia kama nguruwe ukikaribia kunanihii lakin watu hawakuandiki kwenye mtandao?
 
Sidhani kama ni mchumba wako unae mpenda kwa dhati.kitendo cha kuwaambia rafiki zako siri za mpenzi wako ni kumdhalilisha,isitoshe wanamfaham hiyo dhalau.
 
Sidhani kama ni mchumba wako unae mpenda kwa dhati.kitendo cha kuwaambia rafiki zako siri za mpenzi wako ni kumdhalilisha,isitoshe wanamfaham hiyo dhalau.
 
Sidhani kama ni mchumba wako unae mpenda kwa dhati.kitendo cha kuwaambia rafiki zako siri za mpenzi wako ni kumdhalilisha,isitoshe wanamfaham hiyo dhalau.
 
hii sio facebook wewe, acha ushamba, wewe unafikiri watu wanajifunzaje? haji kwako kupiga ramli ng'o
Utakuwa lini wewe? siri zako na mpenzi wako unaleta hapa ili iweje!! wewe mwehu nini?
 

hili ni personal zaidi kaka wala sio mahala pake hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…