Mpenzi wangu wa kwanza kunipa tunda

Mpenzi wangu wa kwanza kunipa tunda

bigmen

Senior Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
147
Reaction score
325
Nilikuwa mwanafunzi mwenye bidii sana wakati nikiwa O level, nilikua napambana kinoma katika masomo hivyo nikawa nafaulu sana japo sijawahi kuwa wa kwanza ila 5 bora sijawahi kukosekan, na utaalamu wangu wa maswala ya hesabu pamoja a uwezo mkubwa wa kumfundisha mwanafunzi mwenzangu na akaelewa ilinifanya nipate marafiki wengi wa kike na wa kiume..

Utamu ni wale marafki wa kike walikuwa wakinisifia sana kutokana na utaalam wangu... basi nikapata mpenzi tulikuwa tunapendana sana nawaambia ukweli alinipenda kinoma noma,

Siku ya kunipa tunda ilipofika mwanaume nilitokwa na jasho maana ilikuwa mara yangu ya kwanza kufanya mapenzi. ilifika wakati natakiwa niingize jogoo langu bandani nikamuuliza wapi pa kuingizia kwa jinsi gani nilikua mshamba. Basi alinikoleza penzi lake kila weekend ikawa ndio mchezo wetu mpaka tulipo maliza shule

Siku moja niligundua kua ananicheat nikaamua kumuacha on the sport na tangu tuachane ni miaka miwili sasa. Ila kila nikikutana nae roho inaniuma sana au hata nikiona picha zake facebook yani najisikia kuumia kinoma hata akiwa na mshikaji mwingine najisikia wivu atari.

Sijui nifanyeje hii hali initoke maana nishachoka kuugulia maumivu
 
Soma umalize hayo mambo utayakuta ukikua.
 
Back
Top Bottom