Nimekuwa na mahusiano na binti kwa takribani miezi 7 sasa, ni single mother na ni Worker, kiukweli nampenda na nadhani yeye pia ananipenda. Tatizo ni kuwa huyu mpenzi ni muongo na mbaya zaidi tupo far from each other mi nipo Morogoro yeye Mwanza.
Anadanganya vitu vidogo vidogo, napata wasi wasi kuwa anaweza kuwa ananidanganya mambo makubwa zaidi nisiyo yajua ikiwemo kuchepuka,nachoka kabisa.
Mmmh labda mahusiano mengine kabisa lakini kama mahusiano ya kulana papuchi tu weeee!!wabaya haoo huwa hawaachani mamaaee wengi hukumbushia mgegedo wanapokutana. Tupa kuleee.