Mpenzi wangu mke mtarajiwa muongo

Mpenzi wangu mke mtarajiwa muongo

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Wasalam


Nimekuwa na mahusiano na binti kwa takribani miezi 7 sasa, ni single mother na ni Worker, kiukweli nampenda na nadhani yeye pia ananipenda. Tatizo ni kuwa huyu mpenzi ni muongo na mbaya zaidi tupo far from each other mi nipo Morogoro yeye Mwanza.

Anadanganya vitu vidogo vidogo, napata wasi wasi kuwa anaweza kuwa ananidanganya mambo makubwa zaidi nisiyo yajua ikiwemo kuchepuka,nachoka kabisa.

Ushauri tafadhali
 
"Single mother" ndio nini? labda tuanzie hapo
 
Unahangaika na single mother wa nini mkuu unaonekana mdogo 1992
 
Acha ujinga Uko form ngapi moro na mwanza unafikiri anakusubiri wewe tu hana nyege, mi dem akiondoka tu geto nahesabu sio wang
 
Kwa hiyo kama muongo sisi tufanyaje ?
 
Mwanamke mwenye mtoto mmoja lakini hana mahusiano ya kimapenzi na baba Wa mtoto wake tena

Mmmh labda mahusiano mengine kabisa lakini kama mahusiano ya kulana papuchi tu weeee!!wabaya haoo huwa hawaachani mamaaee wengi hukumbushia mgegedo wanapokutana. Tupa kuleee.
 
Back
Top Bottom