Mpenzi wangu katusua LST first sitting

Hongera sana lakini haya matokeo yametoka like two or three weeks ago ina maana hukuwa na hizo habari namaanisha hakukwambia tangu mwanzo, meaning we ni last option kwake.
 
I know that..Nayajua muda mrefu.Leo kuna kitu kanifurahisha ndo maana nimeamua kumpost...Vipi mzee baba umechomoa? ??Nasikia disco mia tatu
 
Man mbona hata mimi kaniambia nimpeleke zenji... same girl nini man ? Hapa dalili ni mbaya kabisaa hahahha [emoji23]
 
I know that..Nayajua muda mrefu.Leo kuna kitu kanifurahisha ndo maana nimeamua kumpost...Vipi mzee baba umechomoa? ??Nasikia disco mia tatu
Mzee baba me nimepunguza sup coz me nilikua mbele yao, kwa sasa nna sup moja nadhani wakipenda mwakani ntakuwa admitted.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…