mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Ujue katafunwaukiona manyoya.....
Na kweli umemfariji mkuu, aide!!! [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]Naona wote wamekaa upande wa huyo kimeo chako....
Yeye anamaanisha kuwa yeye keshakuwa BAKULI.......jitahidi utafute saizi yako.
Lengo langu ni kukufariji........maana either way inamaanisha maumivu kumoyo