Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Huyo mkeo mlikutana barabarani au mnafahamiana hadi kwa wazazi wenu? Na hivyo Vitu kavibeba kuvipeleka kwao au wapi? kama ndugu zake wamempokea na hivyo Vitu itakuwa maajabu. Anza kumtafuta kwa ndugu zake kwanza. Ila kama mlikutana kimjini mjini then pole, Anza tu upya
1. Hakuna kitu kama, "ugomvi wa kawaida".
2. Mwanaume unanuna?
3. Kumbe ndani ya nyumba(ndoa) kuna 'vitu vyake' na 'vitu vyako'?
Youngsharo hawezi kuwa na mke wala kazi..usipoteze muda kumshauri mtu anayeitwa youngsharo
Ndio shida ya kuchuka wanwake toka Kona Bar
Shkuru Mungu hajakuwekea sumu tu, mpenzi utapata mengine na vitu untanunua vyengine.
jina nalotumia kwa social networks haimaanishi ndo my real name from ma parents, jaribu kuwa na fikra pevu.
Hebu tupia hapa jina lake na no ya sim tukusaidie kumtafuta. anaweza akawa jiran yangu, maana kuna bint kaja jana hapa na mizigo.
mmh! nyi vijana wenyewe saiz hamueleweki mtanitongozea mke wangu bure.
mmh! nyi vijana wenyewe saiz hamueleweki mtanitongozea mke wangu bure.
Yani wewe bado unamuita mke? Wewe unaitaji maombi yanguvu maana macho yako yanatulubai nasio pazia
Unajuaje mi ni kijana, kama namba unaogopa weka jina nimuulize kama ndo yeye
kaondoka bila talaka so bado ni mke wangu, na ole wake nimkute mtu yupo nae.
kaondoka bila talaka so bado ni mke wangu, na ole wake nimkute mtu yupo nae.
ha ha ha ha h, muda wangu mwingi nilikuwa kwenye Jf jukwaa la kisiasa, ni juzi tu nimechungulia kwenye hili jukwaa. Kinachonifurahisha kwenye hili jukwa ni vituko vya mitaani live. Hapa ni futuhi kwenda mbele.