Mpenzi wangu kanichunia


ushauri wako umenifaa hata mimi.najiona nimebaki mifupa .roho inaniuma nalia kila siku mtu hajali. asante mkuu.
 
ushauri wako umenifaa hata mimi.najiona nimebaki mifupa .roho inaniuma nalia kila siku mtu hajali. asante mkuu.

Dada acha kabisa kumfikiria huyo, tuliza akili, simama, pendeza, endelea na kazi zako kama kawaida, atatokea mtu ambaye huto amin na atakuwa faraja yako na atakupenda. kadiri unavyo jinung'unisha ndio unavyomfanya ajione yey ni kila ki2 (mwanadam akifunga mlango mmoja Mungu anafungua milango mingine 7)

Note: katika kipindi hiki maplay boy ndio wanatake advantage sana, take care! komaa kama huna matatizo ndio utampata right person.
 

mhhh we kama ni ME hyo dem si wako. na kama ni KE huyo mwanaume.si wako pia. jipange upya
 

mhh this is true n well said but sometimes hutokea kwa women pia. I once had an experience (am KE)from mleta thread apo. tumekaa almost a year mm huyo jamaa sijawah mfata kwake, na hata tukimeet kwake priority yake kwangu haikua sex , akniudhi nitamchunia vizuri tuu na siku za kutosha ataomba msamaha...atanifata hata usiku wa manane nikimwambia am lonly..etc. bt huez amin alikua na mwanamke ana mimba yake..na hata kuja kuachana kisa hyo ishu aftr 2 month alirud anaomba tuendelee na r.ship. so mtu anaweza kua caring but still ni muongo tuu.
 
Kwa kawaida sisi hatuangaishwi na vitu ambavyo ni rahisi kupatikana....mwanaume hujisikia fahari anapofanikiwa kumpata mwanamke anayemsumbua sio mwanamke wa maji mara moja...wewe unaonekana dhahiri umemshobokea jamaa ndio maana anakuona wa bei chee..hatoi jasho kukupata tena unajipeleka mwenyewe.....anakuona kama machangudoa wengine...jitambue dada...tambua thamani yako...
Naamini kuna mtu anakesha akilia kuwa atakupata lini....huwa anasikia raha sana akikuona isipokuwa kukwambia anaogopa kwa sababu anaona upo na jamaa....USIPOJITHAMINI HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI....
 
Hvi hzo habari za kumpumulia mwanaume kila wakati unazpata wapi km huna kazi za kufanya??
 
Kamwe Namie Sitampgia Simu Mwanamke Ambaye Hanipigii Simu Wala Kutuma Meseji Au Akiomba Vocha Nampa Alafu Ananibipu Au Ambaye Kila Muda Namuanza Yeye Tu Kwnye Mawasiliano Kwa Kila Siku Aisee Nimeacha Mambo Hayo Siku Hizi Namie Nimekuwa Mbishi Kwa Mwanamke So Nawe Dada Inabidi Upendwe Ndo Utafaidi Kuliko Kupenda Utateseka Sana Aisee,mwanamke Unatakiwa Upendwe Ndo Utafurahia Penzi Lakini Ukipenda Utapata Tabu
 
yeap hii pia ni kweli though it can take few percent among men
 
ushauri wako umenifaa hata mimi.najiona nimebaki mifupa .roho inaniuma nalia kila siku mtu hajali. asante mkuu.
Mkuu binadamu kila siku ana jipya la kujifunza na tambua kila wakati unapopata afya njema na pumzi ya uhai hiyo ni nafasi ya kujitathmini na jufanya mabadiliko chanya katika maisha yako. Japo kuwa kuna wakati ni ngumu kusaha lakini ni vema kutoangalia ulikotoka pale unapofanya mabadiliko yaliyo chanya juu ya maisha yako.Hujachelewa
 

nina imani unapenda kuweli? ukweli ni kwamba ana mtu mwingine tho wote anawapenda inagawa wew hakupendi kiviile ndo maana hapendi mtoke wote changamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…